BumiPesa
API Ingia Jisajili
🚀 Payment Gateway Rahisi Tanzania

Pokea Malipo kwa Urahisi.
Bila Usumbufu.

BumiPesa inawawezesha wafanyabiashara na watengenezaji wa mifumo kukusanya malipo ya USSD push papo hapo kupitia M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, na Halopesa.

Anza Sasa Bure Soma API Docs
âš¡

USSD Push Papo Hapo

Mteja anapokea prompt ya kuingiza PIN kwenye simu yake mara moja. Hakuna hatua za ziada.

🔑

Single API Key Rahisi

Unganisha kwa sekunde chache ukitumia API Key moja tu. Seamless migration kwa watumiaji wa HarakaPay!

📊

Dashboard Safi & Rahisi

Fuatilia mauzo ya leo, wiki hii na mwezi huu, angalia taarifa za wateja na fanya reconciliation bila shida.

© 2026 BumiPesa. Haki zote zimehifadhiwa.
Sheria na Masharti API Documentation Msaada